• HABARI MPYA

  Thursday, September 20, 2018

  CHELSEA YAANZA VYEMA EUROPA LEAGUE, YASHINDA 1-0 UGENINI

  Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao pekee dakika ya saba katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, PAOK usiku huu Uwanja wa Toumbas kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kundi L Europa League 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAANZA VYEMA EUROPA LEAGUE, YASHINDA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top