• HABARI MPYA

  Saturday, September 08, 2018

  BATSHUAYI AFUNGA MAWILI UBELGIJI YAIFUMUA SCOTLAND 4-0

  Mshambuliaji wa Chelsea, Michy Batshuayi anayecheza kwa mkopo Valencia akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji mabao mawili dakika za 52 na 60 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Scotland katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Hampden Park mjini Glasgow, Scotland. Mabao mengine ya Ubelgiji yalifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 28 na Eden Hazard dakika ya 46 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BATSHUAYI AFUNGA MAWILI UBELGIJI YAIFUMUA SCOTLAND 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top