• HABARI MPYA

  Saturday, September 15, 2018

  BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI DHIDI YA REAL SOCIEDAD

  Luis Suarez wa Barcelona akibinuka tik tak mbele ya wachezaji wa Real Sociedad katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaaa ya Anoeta mjini Donostia-San Sebastián.  Barcelona imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Luis Suarez dakika ya 63 na Ousmane Dembele dakika ya 66 wakati la Real Sociedad lilifungwa na Aritz Elustondo dakika ya 12  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YASHINDA 2-1 UGENINI DHIDI YA REAL SOCIEDAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top