• HABARI MPYA

    Friday, September 07, 2018

    BALE AFIKISHA MABAO 30 MECHI YA 71 WALES IKISHINDSA 4-1

    Gareth Bale akishangilia baada ya kuifungia Wales bao la pili dakika ya 18 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Ireland usiku wa jana Uwanja wa Cardiff City kwenye michuano ya Ligi ya Mataifa Ulaya, hilo likiwa bao lake la 30 anaifungia timu yake hiyo ya taifa katika mechi ya 71 kucheza. Mabao mengine ya Wales yalifungwa na Tom Lawrence dakika ya sita, Aaron Ramsey dakika ya 37 na Connor Roberts dakika ya 55 huku la Ireland likifungwa na Shaun Williams dakika ya 66 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE AFIKISHA MABAO 30 MECHI YA 71 WALES IKISHINDSA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top