• HABARI MPYA

  Wednesday, September 05, 2018

  AZAM FC NA ARUSHA UNITED ZILIVYOTOSHANA NGUVU JANA CHAMAZI

  Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yussuf Abeid (kushoto) akimtoka mchezaji wa Arusha United katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam uliomalizika kwa sare ya 0-0 
  Winga wa Azam FC Ramadhani Singano 'Messi' akimtoka beki wa Arusha United  
  Beki wa Azam FC, Mzimbabwe Bruce Kangwa akimtoka beki wa Arusha United  
  Kiungo wa Azam FC, Salmin Hoza akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Arusha United 
  Mshambuliaji wa Azam FC, Paul Peter akipiga mpira mbele ya mchezaji wa Arusha United
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA ARUSHA UNITED ZILIVYOTOSHANA NGUVU JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top