• HABARI MPYA

    Friday, August 10, 2018

    YANGA SC KATIKA MAZOEZI LEO MJINI MOROGORO

    Viungo Mrisho Khalfan Ngassa (kulia) na Emmanuel Martin (kushoto) wakiwa mazoezini na klabu yake, Yanga SC Uwanja wa Highland Park mjini Morogoro kuelekea mchezo wa Jumapili dhidi ya Mawenzi Market Uwanja wa Jamhuri maalum kumuga aliyekuwa Nahodha wao, Nadir Haroub 'Cannavaro'
     Kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko (kushoto) naye amefanya mazoezi
    Kiungo Mkongo, Papy Kabamba Tshishimbi akimtazama mwenzake anavyofanya mazoezi kwa bidii 
    Kocha kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mwinyi Zahera akiongoza mazoezi leo Morogoro 
    Wachezaji wa Yanga SC wakijifua kwa bidii leo mjini Morogoro

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC KATIKA MAZOEZI LEO MJINI MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top