• HABARI MPYA

  Friday, August 03, 2018

  WILLIAN ANAYETAKIWA NA REAL MADRID AREJEA MAZOEZINI CHELSEA

  Winga Mbrazil, Willian akiwa mazoezini jana na timu yake Chelsea viwanja vya Cobham baada ya kurejea kufuatia mapumziko ya baada ya msimu wakijiandaa kwa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Manchester City Jumapili. Willian anatakiwa na Real Madrid 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WILLIAN ANAYETAKIWA NA REAL MADRID AREJEA MAZOEZINI CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top