• HABARI MPYA

  Monday, August 06, 2018

  KICHUYA ALIYOMWAGIWA MAJI KUSHEHEKEA BETHIDEI YAKE

  Wachezaji wa Simba SC wakimwagia maji na matope mwenzao, kiungo Shiza Ramadhani Kichuya katika kambi yao ya Uturuki jana kuazimisha siku yake ya kuzaliwa
  Hapa wachezaji wote wa Simba SC wakiwa mbeleya hoteli waliyoweka kambi  
  Kocha Mbelgiji wa Simba SC, Patrick J Aussems akiwa kwenye basi wakati wa safari ya kuelekea Uwanja wa Ndege 
  Hapa wachezaji wa Simba SC wakitembea eneo la Uwanja wa Ndege wa Istanbul 
  Hili ni basi la wachezaji wa Simba SC baada ya kupambwa upya na wadhamini wao, kampuni ya SportPesa
  Basi hili litawapokea wachezaji wa Simba SC watakapowasili Alfajifi


  Mmoja wa mashabiki wa Simba SC akijitolea damu eneo la Boma, Uwanja Karume, Dar es Salaam kwa hisani kuelekea Simba Day Agost   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KICHUYA ALIYOMWAGIWA MAJI KUSHEHEKEA BETHIDEI YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top