• HABARI MPYA

    Thursday, August 09, 2018

    UTAMBULISHO WA COURTOIS REAL MADRID LEO BERNABEU

    Thibaut Courtois akiibusu jezi ya Real Madrid wakati wa utambulisho wake leo Uwanja wa  Santiago Bernabeu kufuatia kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 35 na kusaini mkataba wa miaka sita kutoka Chelsea 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UTAMBULISHO WA COURTOIS REAL MADRID LEO BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top