• HABARI MPYA

    Sunday, August 05, 2018

    SALAH AFUNGA LIVERPOOL YAIBAMIZA 5-0 NAPOLI KIRAFIKI

    Mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 58 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Napoli kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Aviva mjini Dublin. Mabao megine ya Liverpool yamefungwa na James Milner dakika ya nne, Georginio Wijnaldum dakika ya tisa, Daniel Sturridge dakika ya 73 na Alberto Moreno dakika ya 77 kipa mpya, Mbrazil Alisson Ramses Becker aliyesajiliwa kutoka Roma akianza vyema kwa kusimama langoni kwa mara ya kwanza bila kuruhusu bao 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SALAH AFUNGA LIVERPOOL YAIBAMIZA 5-0 NAPOLI KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top