• HABARI MPYA

  Sunday, August 05, 2018

  REAL MADRID WAICHAPA JUVENTUS 3-1 KIRAFIKI MAREKANI

  Gareth Bale akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao la kusawazisha dakika ya 39 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Juventus kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa FedExField, Landover, Maryland nchini Marekani. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Marco Asensio yote dakika za 47 na 56 wakati la Juve iliyomkosa mshambuliaji wake mpya, Cristiano Ronaldo ambaye anaendelea na mazoezi ya peke yake mjini Turin limefungwa na Daniel Carvajal aliyejifunga dakika ya 12 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID WAICHAPA JUVENTUS 3-1 KIRAFIKI MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top