• HABARI MPYA

  Saturday, August 04, 2018

  PSG WAIPIGA 4-0 MONACO NA KUTWAA TAJI LA KWANZA

  Wachezaji wa PSG wakishangilia na Kombe lao Mabingwa baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Monaco leo Uwanja wa Shenzhen City mjini Shenzhen mabao yake yakifungwa na Angel Di Maria mawili dakika za 33 na 90 na ushei, Christopher Nkunku dakika ya 40 na Timothy Weah dakika ya 67, kikosi cha kocha Thomas Tuchel kikitwaa taji la kwanza msimu huu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG WAIPIGA 4-0 MONACO NA KUTWAA TAJI LA KWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top