• HABARI MPYA

  Friday, August 03, 2018

  JUVENTUS KUIVAA REAL MADRID KESHO, RONALDO ATACHEZA?

  Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akiwa mazoezini na timu yake mpya, Juventus ikijiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya timu yake ya zamani, iliyomuuza kwa Pauni Milioni 100, Real Madrid utakaofanyika kesho  Uwanja wa FedEx Field, Landover mjini Maryland ingawa haijulikani kama Mreno huyo atcheza 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUVENTUS KUIVAA REAL MADRID KESHO, RONALDO ATACHEZA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top