• HABARI MPYA

    Thursday, August 02, 2018

    HIGUAIN ATUA AC MILAN KWA MKOPO KUMPISHA RONALDO JUVE

    HIGUAIN ATUA AC MILAN KWA MKOPO KUMPISHA RONALDO JUVEGonzalo Higuain akiwa amepozi na jezi ya AC Milan kuelekea kufanyiwa vipimo vya afya kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo wa muda mrefu wa msimu timu hiyo kutoka Juventus, zote za Italia. Juve inamuacha Higuain baada ya kumnunua Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo kwa Pauni Milioni 100 kutoka Real Madrid ya Hispania 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HIGUAIN ATUA AC MILAN KWA MKOPO KUMPISHA RONALDO JUVE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top