• HABARI MPYA

    Sunday, August 05, 2018

    FEI TOTO MAZOEZINI NA TIMU YAKE MPYA, YANGA SC MJINI MOROGORO

    Kiungo mpya wa Yanga SC, Feisal Salum 'Fei Toto' akiwa mazoezini na timu yake hiyo mpya mjini Morogoro kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara
    Wachezaji wengine wa Yanga mazoeziniUwanja wa Jamhuri mjini Morogoro; Kutoka kulia Kelvin Yondan, Mrisho Ngassa na Thabani Kamusoko
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FEI TOTO MAZOEZINI NA TIMU YAKE MPYA, YANGA SC MJINI MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top