• HABARI MPYA

    Wednesday, August 08, 2018

    CHELSEA YASHINDA KWA PENALTI 5-4 KUTWAA KOMBE LA MABINGWA

    Kipa Rob Green akiokoa penalti ya Pape Cheikh Diop katika mechi yake ya kwanza kuidakia Chelsea ikishinda kwa penalti 5-4 dhidi ya Lyon ya Ufaransa katika fainali ya Kombe la Mabingwa wa Kimataifa jana Uwanja wa Stamford Bridge na kumpa nafasi Eden Hazard kufunga penalti ya mwisho ya ushindi baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YASHINDA KWA PENALTI 5-4 KUTWAA KOMBE LA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top