• HABARI MPYA

    Sunday, August 05, 2018

    AUBAMEYANG AFUNGA ARSENAL IKIICHAPA 2-0 LAZIO

    Mshambuliaji Mgabon, Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 64 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Lazio kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Friends Arena mjini Solna, kufuatia Reiss Nelson kufunga la kwanza dakika ya 18 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AUBAMEYANG AFUNGA ARSENAL IKIICHAPA 2-0 LAZIO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top