Kipa Kepa Arrizabalaga akiwa ameshika jezi ya Chelsea baada ya kukamilisha uhamisho wake wa dau la rekodi, Pauni Milioni 72 kutoka Athletic Bilbao ya Hispania ambalo linaupiku usajili wa Pauni Milioni 66.8 wa kipa Mbrazil, Alisson kutoka AC Milan kwenda Liverpool mwezi uliopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Loading...
0 comments:
Post a Comment