• HABARI MPYA

  Tuesday, July 10, 2018

  UMTITI AIPELEKA UFARANSA FAINALI KOMBE LA DUNIA, UBELGIJI YAPIGWA 1-0

  Beki Samuel Umtiti (wa pili kushoto) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Ufaransa bao pekee la ushindi dakika ya 51 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Ubelgiji kwenye mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Dunia leo Uwanja wa Saint-Petersburg nchini Urusi. Ufaransa itakutana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili kesho kati ya England na Croatia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UMTITI AIPELEKA UFARANSA FAINALI KOMBE LA DUNIA, UBELGIJI YAPIGWA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top