• HABARI MPYA

  Tuesday, July 10, 2018

  TORREIRA TAYARI NI MCHEZAJI MPYA WA ARSENAL YA EMERY

  Kiungo wa kimataifa wa Uruguay, Lucas Torreira akifurahia baada ya kukamilisha usajili wake klabu ya Arsenal kwa dau la Pauni Milioni 25 kutoka Pescara alikokuwa anacheza kwa mkopo kutoka Sampdoria. Lucas Torreira anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa Arsenal chini ya kocha mpya, Mspaniola Unai Emery, baada ya Sokratis Papastathopoulos, Bernd Leno na Stephan Lichtsteiner 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TORREIRA TAYARI NI MCHEZAJI MPYA WA ARSENAL YA EMERY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top