• HABARI MPYA

  Thursday, July 12, 2018

  NI CROATIA NA UFARANSA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018 URUSI

  Mario Mandzukic akikimbia kushangilia kishujaa baada ya kuifungia Croatia bao la ushindi dakika ya 109 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia usiku wa Jumatano Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow, Urusi. England ilitangulia kwa bao la Kieran Trippier dakika ya tano, kabla ya Ivan Perisic kuisawazishia Croatia dakika ya 68. Croatia sasa itakutana na Ufaransa Jumapili 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI CROATIA NA UFARANSA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018 URUSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top