• HABARI MPYA

  Sunday, July 08, 2018

  MWAKA 2003 MAJI MAREFU ALISAFIRISHA WAANDISHI KWENDA NAIROBI KURIPOTI MECHI YA TAIFA STARS NA HARAMBEE

  Aliyekuwa Mbunge wa Korogwe mkoani Tenga, Stepgen Ngonyani ‘Profesa Maji Marefu’ (wa pili kushoto mbele, mwenye baraghashi) akiwa na Waandishi wa habari za Michezo wa Tanzania mwaka 2003 mbele ya hoteli ya Safari Park mjini Nairobi, Kenya ambao aliwasafirisha kwenda kuripoti mchezo wa kimataifa kati ya wenyeji, Harambee Stars na Taifa Stars. Mungu ampumzishe kwa amani Profesa Maji Marefu aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Julai 3, mwaka huu hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWAKA 2003 MAJI MAREFU ALISAFIRISHA WAANDISHI KWENDA NAIROBI KURIPOTI MECHI YA TAIFA STARS NA HARAMBEE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top