• HABARI MPYA

  Sunday, July 08, 2018

  LIVERPOOL YASHINDA 7-0 MAANDALIZI YA MSIMU MPYA KEITA NA FABINHO WAKICHEZA

  Harry Wilson (wa pili kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Chester kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Swansway Chester jana. Mabao mengine ya Liverpool katika mchezo ambao wachezaji wapya, viungo Naby Keita na Fabinho walioigharimu klabu karibu Pauni Milioni 100 walicheza kwa mara ya kwanza baada ya kusailiwa, yalifungwa na Daniel Sturridge mawili pia, Ryan Kent, Danny Ings na James Milner kwa penalti 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YASHINDA 7-0 MAANDALIZI YA MSIMU MPYA KEITA NA FABINHO WAKICHEZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top