• HABARI MPYA

  Saturday, July 07, 2018

  ENGLAND YAIPIGA SWEDEN 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI

  Dele Alli akishangilia baada ya kuifungia bao la pili England dakika ya 58 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sweden leo Uwanja wa Samara Arena nchini Urusi katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la Dunia, baada ya Harry Maguire kufunga la kwanza dakika ya 30. England sasa itakutana na mshindi kati ya Urusi na Croatia katika Nusu Fainali wiki ijayo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENGLAND YAIPIGA SWEDEN 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top