• HABARI MPYA

  Thursday, July 12, 2018

  CHIRWA AIBUKIA TIMU YA DARAJA LA PILI MISRI, SIYO ISMAILIA TENA

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia, Obrey Chirwa (kulia) akiwa na jezi ya timu ya Nogoom El Mostakbal FC ya Daraja Pili nchini Misri baada ya kujiunga nayo akitokea Yanga ya Tanzania aliyochezea kwa misimu miwili kufuatia kuwasili akitokea Platinums FC ya Zimbabwe. Awali iliripotiwa Chirwa atajiunga na Ismailia ya Ligi Kuu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHIRWA AIBUKIA TIMU YA DARAJA LA PILI MISRI, SIYO ISMAILIA TENA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top