• HABARI MPYA

  Wednesday, June 13, 2018

  ZIDANE AKIONGOZA KIKOSI CHA UFARANSA 98 KUSHINDA 3-2

  Zinedine Zidane akishangilia baada ya kufunga kwa mpira wa adhabu dakika ya 49, kikosi cha nyota walioipa Ufaransa Kombe la Dunia mwaka 1998 kikipata ushindi wa 3-2 dhidi ya kikosi cha nyota wote wa fainali za Kombe la dunia mwaka 1998, All Star kilichoongozwa na kocha wa zamani wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger jana mjini Nanterre, Ufaransa. Mabao mengine ya Ufaransa 98 yalifungwa na Thierry Henry dakika ya 22 na Vincent Candela dakika ya 67, wakati ya kikosi cha Dunia 98 yalifungwa Fernando Morientes dakika ya nane na Gaizka Mendieta dakika ya 60 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZIDANE AKIONGOZA KIKOSI CHA UFARANSA 98 KUSHINDA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top