• HABARI MPYA

  Saturday, June 09, 2018

  VICTOR WANYAMA ALIPOMTEMBELEA YUSSUF BAKHRESA JANA

  Mkurugenzi wa Azam FC na Azam TV, Yussuf Bakhresa (kushoto) akiwa na wageni wake, kiungo Mkenya wa Tottenham Hotspur ya England, Victor Wanyama (katikati) na chipukizi wa Tanzania, Shaaban Iddi Chilunda wa Azam FC (kulia) nyumbani kwake, Mikocheni, Dar es Salaam jana
  Hii inakuwa mara ya pili mfululizo Victor Wanyama anamtembelea Yussuf Bakhresa katika kipindi cha mapumziko ya baada ya msimu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VICTOR WANYAMA ALIPOMTEMBELEA YUSSUF BAKHRESA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top