• HABARI MPYA

    Friday, June 15, 2018

    URUSI YAANZA MOTO KOMBE LA DUNIA, YAWAPIGA 5-0 WAARABU

    Denis Cheryshev akinyoosha mikono juu kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 43 na 90 na ushei katika ushindi wa 5-0 wa wenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia 2018, Urusi dhidi ya Saudi Arabia katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi A Ijumaa Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow. Mabao mengine ya Urusi yalifungwa na Iury Gazinsky dakika ya 12, Artem Dzyuba dakika ya 71 na Aleksandr Golovin dakika ya 90 na zaidi 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: URUSI YAANZA MOTO KOMBE LA DUNIA, YAWAPIGA 5-0 WAARABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top