• HABARI MPYA

  Friday, June 08, 2018

  SIMBA SC NA KAKAMEGA HOMEBOYZ KATIKA PICHA JANA NAKURU

  Mshambuliaji wa Kakamega Homeboyz, Allan Wanga (katikati) akiruka kupiga mpira dhidi ya mabeki wa Simba SC katika mchezo wa Nusu Fainali ya SportPesa Super Cup jana Uwanja wa Afraha mjini Nakuru, Kenya. Simba SC ilishinda kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 
  Winga wa Simba SC, Shiza Kichuya akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Kakamega Homeboyz  
  Beki mkongwe wa Simba SC, Erasto Nyoni (kulia) akipiga mpira dhidi ya Allan Wanga wa Kakamega  
  Kiungo mtaalamu wa Simba, Haruna Niyonzima (kushoto) akipiga pasi dhidi ya mchezaji wa Kakamega 
  Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiwa juu kuwania mpira dhidi ya mchezaji wa Kakamega 
  Kipa hodari wa Simba SC, Aishi Manula akiwa kazini jana Nakuru
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA KAKAMEGA HOMEBOYZ KATIKA PICHA JANA NAKURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top