• HABARI MPYA

  Saturday, June 09, 2018

  SAMATTA NA WANYAMA WALIPOKUTANA UZINDUZI WA NDONDO CUP

  Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta (kushoto) anayechezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji akiwa Nahodha wa Kenya, Victor Wanyama anayechezea Tottenham Hotspur ya England katika uzinduzi wa Mashindano ya Ndondo Cup Uwanja wa Kinesi, Shekilango, Dar es Salaam jana  
  Awali ya hapo, Victor Wanyama (katikati) alikuwa visiwani Zanzibar kwa utalii
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAMATTA NA WANYAMA WALIPOKUTANA UZINDUZI WA NDONDO CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top