• HABARI MPYA

  Tuesday, June 05, 2018

  RONALDO AINGIA KAMBINI URENO KUJIANDAA NA KOMBE LA DUNIA

  Cristiano Ronaldo akifurahia kwenye mazoezi ya timu yake ya taifa, Ureno kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia katika kambi yao mjini Lisbon mara baada ya kujiunga nao jana kufuatia kupewa mapumziko zaidi baada ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya akiiwezesha klabu yake, Real Madrid kushinda 3-1 dhidia ya Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AINGIA KAMBINI URENO KUJIANDAA NA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top