• HABARI MPYA

  Monday, June 04, 2018

  REAL MADRID ILIPOICHAPA ARSENAL 2-1 JANA UWANJA WA BERNABEU

  Gwiji wa Real Madrid, Mreno Luis Figo akimtoka gwiji wa Arsenal, Mfaransa Robert Pires katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Katika mchezo huo wa hisani kuchangia mfuko wa Arsenal ( The Arsenal Foundation) Real Madrid ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Raul dakika ya sita na Guti dakika ya 20, wakati la Washika Bunduki wa London lilifungwa na Luis Boa Morte dakika ya 18 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID ILIPOICHAPA ARSENAL 2-1 JANA UWANJA WA BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top