• HABARI MPYA

  Sunday, June 17, 2018

  POGBA AIFUNGIA LA USHINDI UFARANSA YAILAZA 2-1 AUSTRALIA

  Paul Pogba akishangilia kibabe baada ya kuifungia Ufaransa bao ushindi dakika ya 80 ikiilaza 2-1 Australia katika mchezo wa Kundi C Kombe la Dunia Uwanja wa Kazan' Arena nchini Urusi. Antoine Griezmann alianza kuifungia Ufarandsa kwa penalti ya msaada wa teknolojia ya picha za video (VAR) dakika ya 58, kabla ya teknolojia hiyo pia kuisaidia Australia kupata bao la kusawazisha kwa penalti pia lililofungwa na Mile Jedinak dakika ya 62 baada ya Samuel Umtiti kuunawa mpira 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA AIFUNGIA LA USHINDI UFARANSA YAILAZA 2-1 AUSTRALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top