• HABARI MPYA

    Monday, June 04, 2018

    NYOMI LA JUZI SHEIKH AMRI ABEID NI USHINDI KWA MCHEZO

    Mashabiki wakiwa wamebanana katika eneo dogo la Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha wakati wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), au Azam Sports Federation Cup (ASFC) Jumamosi kati ya Mtibwa Sugar na Singida United 
    Watu walijitokeza kwa wingi na kuondoa dhana kwamba viwanja vya Tanzania vinaweza kusheheni pale tu zinapocheza klabu kongwe, Simba na Yanga
    Wengine waliokosa nafasi ya kuingia uwanjani walikwenda kukaa kwenye ghorofa hili lilio jirani na Uwanja wa Sheikh Amri Abeid  
    Wengine walipanda juu ya miti kuishuhudia burudani hiyo
    Mtibwa Sugar ikaibuka na ushindi wa 3-2 na kubeba Kombe 
    Majukwaa yalipendeza na wachezaji wakatoa burudaniu nzuri uwanjani
    Wengine waliketi juu ya ukuta wa uzio wa Uwanja 
    Mashabiki walikuwa wengi kiasi kwamba ilikuwa vigumu hata kugeuka 
    Jamaa hawa ilibidi wakae tu kwenye ukuta wa uzio wa Uwanja

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NYOMI LA JUZI SHEIKH AMRI ABEID NI USHINDI KWA MCHEZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top