• HABARI MPYA

    Monday, June 04, 2018

    NINI VIGOGO HAWA WA TFF WALIKUWA WANAZUNGUMZA HAPA?

    Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidau (kushoto) akizungumza na Ofisa wa shirikisho hilo, Jemedari Said kabla ya fainali ya Kombe la TFF, maarufu kama Azam Sports Federation (ASFC) kati ya Mtibwa Sugar na Singida United Jumamosi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha
    Wilfred Kidau na Jemadari Said ni marafiki tangu miaka ya 1990 walipokuwa wanacheza soka 
    Yalikuwa mazungumzo yaliyokuja muda mfupi kabla ya mchezo kuanza 
    Baadaye kabla ya mechi kuanza Wilfred Kidau akaenda kuzungumza oia na Mkurugenzi wa Mtibwa Sugar, Jamal Bayser (kushoto)
    Mtibwa Sugar ilifanikiwa kutwaa tajinASFC kwa ushindi wa mabao 3-2 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NINI VIGOGO HAWA WA TFF WALIKUWA WANAZUNGUMZA HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top