• HABARI MPYA

  Sunday, June 03, 2018

  NEYMAR ARUDI NA MOTO, AFUNGA BONGE LA BAO BRAZIL YASHINDA 2-0

  Mshambuliaji Neymar aliyekuwa majeruhi tangu mwanzoni mwa mwaka, akishangilia baada ya kuifungia bao zuri Brazil dakika ya 69 kwa pasi ya Philippe Coutinho ikiilaza Croatia 2-0 leo Uwanja wa Anfield, Liverpool katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kujiandaa na Kombe la Dunia. Bao lingine la Brazil lilifungwa na Roberto Firmino dakika ya 90 na ushei, akimalizia pasi ya Casemiro PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR ARUDI NA MOTO, AFUNGA BONGE LA BAO BRAZIL YASHINDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top