• HABARI MPYA

  Sunday, June 10, 2018

  NEYMAR AFUNGA TENA BRAZIL YASHINDA 3-0 KIRAFIKI

  Mshambuliaji wa Brazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 63 akimalizia pasi ya Willian katika mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Austria leo Uwanja wa Ernst-Happel mjini Viena hiyo mechi yake ya kwanza kuanza kwenye kikosi cha timu hiyo tangu aumie mguu Februari mwaka huu akiwa na klabu yake, Pars Saint-Germain nchini Ufaransa. Mabao mengine ya Brazil yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 36 na Philippe Coutinho dakika ya 69 akimalizia kazi nzuri ya Roberto Firmino 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AFUNGA TENA BRAZIL YASHINDA 3-0 KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top