• HABARI MPYA

    Sunday, June 10, 2018

    MKUTANO WA YANGA KATIKA PICHA LEO BWALO LA POLISI OYSTERBAY

    Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akiwahutubia mamia ya wanachama wa klabu ya Yanga waliojitokeza kwenye mkutano mkuu wa mwaka Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Polisi, Oysterbay mjini Dar es Salaam leo  
    Mamia ya wanachama wa klabu ya Yanga waliojitokeza kwenye mkutano mkuu wa mwaka Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Polisi, Oysterbay mjini Dar es Salaam leo  
    Wanachama wa klabu ya Yanga waliojitokeza kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa klabu yao leo   
    Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akiondoka baada ya kufungua mkutano 
    Kiongozi wa zamani wa Yanga, Mussa Katabaro pamoja na kwamba ni mgonjwa ametoka kufanyiwa upasuaji wa mguu hivi karibuni nchini India kufuatia ajali mbaya ya gari, lakini kwa mapenzi na klabu yake amejitokeza mkutanoni 
    Rais wa kwanza wa Yanga kabla ya klabu kurejea kwenye mfumo wa Mwenyekiti kama kiongozi mkuu, Tarimba Abbas alikuwepo pia leo 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MKUTANO WA YANGA KATIKA PICHA LEO BWALO LA POLISI OYSTERBAY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top