• HABARI MPYA

    Saturday, June 16, 2018

    MKALI KWELI CRISTIANO RONALDO ABEBA TUZO YA MOM

    Cristiano Ronaldo akiwa ameshika tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi (MOM) baada ya kuifungia Ureno mabao matatu katika sare ya 3-2 na Hispania kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia jana Uwanja wa Olimpiki mjini Sochi, Urusi 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MKALI KWELI CRISTIANO RONALDO ABEBA TUZO YA MOM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top