• HABARI MPYA

  Friday, June 15, 2018

  MISRI YATOBOLEWA DAKIKA YA MWISHO NA URUGUAY

  Nyota wa Atletico Madrid, Jose Gimenez (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Uruguay dakika ya 89 ikiilaza 1-0 Misri katika mchezo wa Kunsi A Kombe la Dunia Uwanja wa Ekaterinburg Arena mjini Ekaterinburg, Urusi leo. Misri ilimkosa nyota wake, Mohamed Salah aliyekuwa benchi kutokana na maumivu ya bega aliyoyapata katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, klabu yake, Liverpool ikifungwa 3-1 na Real Madrid mwezi uliopita 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MISRI YATOBOLEWA DAKIKA YA MWISHO NA URUGUAY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top