• HABARI MPYA

  Sunday, June 17, 2018

  MESSI AKOSA PENALTI MUHIMU ARGENTINA YAANZA NA SARE URUSI

  Nahodha wa Argentina, Lionel Messi akisikitika baada ya mkwaju wake wa penalti kuokolewa na kipa, Hannes Halldorsson dakika ya 64 kufuatia Hordur Magnusson kuchezewa faulo na Maximiliano Meza wa Iceland katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia Uwanja wa Spartak Arena mjini Moscow, Urusi. Argentina ilitangulia kwa bao la Sergio Aguero dakika ya 19, kabla ya Alfred Finnbogason kuisawazishia Iceland dakika ya 23 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AKOSA PENALTI MUHIMU ARGENTINA YAANZA NA SARE URUSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top