• HABARI MPYA

  Monday, June 11, 2018

  MCHEZAJI ABUBUJIKWA MACHOZI AKIAGA KUHAMIA REAL MADRID

  WINGA chipukizi, Vinicius Junior alishindwa kuzuia machozi wakati anaichezea mechi ya mwishi Flamengo kabla ya kwenda kujiunga na Real Madrid majira haya ya joto.
  Los Blancos inamchukua kinda huyo Mbrazil kwa Pauni Milioni ambaye alionekana akipunga mkono kuaga klabu yake ya iliyomkuza huku machozi yakimtoka katika mechi ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Parana Jumapili.
  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17, atajiunga rasmi na Real atakapotimiza umri wa miaka 18 mwezi Julai na anatabiriwa kuwa mchezaji mwingine mkubwa kutokea Brazil tangu Neymar.

  Vinicius Junior alishindwa kuzuia machozi wakati anaichezea mechi ya mwishi Flamengo kabla ya kwenda kujiunga na Real Madrid majira haya ya joto 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZAJI ABUBUJIKWA MACHOZI AKIAGA KUHAMIA REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top