• HABARI MPYA

  Sunday, June 03, 2018

  MANUEL NEUER AREJEA UJERUMANI IKICHAPWA 2-1 NA AUSTRIA

  Kipa Manuel Neuer akiokoa wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Austria akiidakia Ujerumani kwa mara ya kwanza tangu Septemba mwaka jana alipoumia mguu, Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Worthersee mjini Klagenfurt am Worthersee, Austria ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Martin Hinteregger dakika ya 53 na Alessandro Schopf dakika ya 69, baada ya Mesut Ozil kutangulia kuifungia Ujerumani dakika ya 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANUEL NEUER AREJEA UJERUMANI IKICHAPWA 2-1 NA AUSTRIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top