• HABARI MPYA

  Thursday, June 07, 2018

  LUKAKU AFUNGA UBELGIJI YAICHAPA MISRI 3-0 KUJIANDAA NA KOMBE LA DUNIA

  Mshambuliaji wa Ubelgiji, Romelu Lukaku (kushoto) akimtoka mchezaji wa Misri katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kujiandaa na Kombe la Dunia uliofanyika Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussells, Ubelgiji usiku wa jana. Ubelgiji ilishinda 3-0, mabao ya nyota wake wanaocheza England, Lukaku dakika ya 27, Eden Hazard dakika ya 38 na Marouane  Fellaini dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA UBELGIJI YAICHAPA MISRI 3-0 KUJIANDAA NA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top