• HABARI MPYA

  Wednesday, June 13, 2018

  LEWIS ATHIBITISHA JOSHUA NA WILDER KUZIPIGA

  Bingwa wa zamani wa ngumi za kulipwa uzito wa juu duniani, Lennox Lewis ameposti picha hii kuashiria kwamba pambano la kuunganisha mataji kumpata bingwa wa dunia asiyepingika kati ya Muingereza mwenzake, Anthony Joshua (kushoto) na Mmarekani, Deontay Wilder linakuja. Jana Wilder alisema wamekubaliana pambano hilo lifanyike Septemba au Oktoba Uingereza  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWIS ATHIBITISHA JOSHUA NA WILDER KUZIPIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top