• HABARI MPYA

  Monday, June 04, 2018

  DE GEA AIGHARIMU HISPANIA, YATOA SARE 1-1 NA USWISI

  Kipa wa Hispania, David de Gea akiwa mnyonge baada ya kufanya makosa yaliyompa nafasi Ricardo Rodriguez (kulia) kuisawazishia bao Uswisi dakika ya 62 baada ya beki wa kulia, Alvaro Odriozola kuanza kuwafungia wenyeji dakika ya 29 katika sare ya 1-1 usiku wa jana Uwanja wa Ceramica mjini Villarreal kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa kujiandaa na Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DE GEA AIGHARIMU HISPANIA, YATOA SARE 1-1 NA USWISI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top