• HABARI MPYA

    Saturday, June 09, 2018

    KONGOLO ASAINI MIAKA MINNE HUDDERSFIELD TOWN

    Beki wa kimataifa wa Uholanzi, Terence Kongolo akiwa ameshika jezi ya Huddersfield Town ya England baada ya kusaini mkataba wa miaka minne kujiunga nayo moja kwa moja kufuatia kuichezea kwa mkopo tangu Januari kutoka Monaco ya Ufaransa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KONGOLO ASAINI MIAKA MINNE HUDDERSFIELD TOWN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top