• HABARI MPYA

  Monday, June 11, 2018

  CANTONA ALIPOREJEA OLD TRAFFORD KATIKA UMRI WA MIAKA 52

  Gwiji wa Manchester United, Mfaransa Eric Cantona (kulia) katika umri wa miaka 52 akiwa Uwanja wa Old Trafford jana wakati wa mchezo wa Soccer Aid baina ya kikosi cha Dunia, World XI dhidi ya England XI. England ilishinda kwa penalti 4-3 baada ya sare ya 3-3. Mabao ya England yalifungwa na Darren Bent, nyota wa F2 Freestyle, Jeremy Lynch na Michael Owen ya kikosi cha Dunia yalifungwa na Robbie Keane, nyota wa zamani wa Man United, Juan Veron na Clarence Seedorf kabla ya matuta kuamua mshindi kipa David Seaman akimfunika Edwin Van der Sar 
    

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CANTONA ALIPOREJEA OLD TRAFFORD KATIKA UMRI WA MIAKA 52 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top