• HABARI MPYA

  Sunday, June 10, 2018

  INIESTA ANG'ARA HISPANIA IKIILAZA TUNISIA 1-0 KIRAFIKI

  Andres Iniesta wa Hispania akimruka mchezaji wa Tunisia, Elyess Skhiri katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Kombe la Dunia jana Uwanja wa FK Krasnodar. Hispania ilishinda 1-0, bao pekee la Iago Aspas dakika ya 84 akimalizia pasi ya Diego Costa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: INIESTA ANG'ARA HISPANIA IKIILAZA TUNISIA 1-0 KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top