• HABARI MPYA

    Sunday, June 10, 2018

    HUYU NI CELESTINE SIKINDE MBUNGA ALIYEWIKA MAJI MAJI NA YANGA

    Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Celestine Sikinde Mbunga akipiga picha mbele ya wachezaji wenzake mwaka 1987 jioni moja baada ya mechi zao. Mbunga aliwika pia Maji Maji ya Songea
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUYU NI CELESTINE SIKINDE MBUNGA ALIYEWIKA MAJI MAJI NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top